Distance(S) ÷ Time (t) ; The most confusing Love equation

AnyWayZ

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2022
Posts
4,880
Reaction score
8,424
Wakati Physics inasema Umbali gawia Muda unapata Mwendokasi, umewahi jiuliza huo Mwendokasi ni wa kwenda wapi?

Kwenye Mapenzi hiyo ni speed ya kuachwa.

Ila Wahenga wakajifariji kwamba Safari siyo kifo, Bella akasema atarudi.

Wakuu hii equation ya Distance(Umbali)/time(muda) haijawahi mwacha mtu salama haijalishi mnapendana kiasi gani.

Kwamba wahuni wakimtokea Mpenzi/Mkeo akawajibu mimi nina mtu wangu huwa wanamuuliza yupo wapi? Utasikia anafanyia kazi/anasoma mkoani (distance, S)

Hapa ndo vijana tunasema ni suala la muda(t) tu Kumaanisha hakuna Penzi tena hapo.

Iweni na Sabatho Njema.
 
Mimi bado sijapata wa mbali wakufanyia majaribio.. nadhani wanandoa tu ndo wanaweza kudumu kwenye hayo mahusiano,, the rest hakuna kitu 😃
Wanandoa hao nao wawe na upako haswa, leo kuna thread Mamchungaji anasimulia jinsi shughuli za mbali za mumewe zilivyompelekea kujichua licha ya kua na mchepuko.
 

M nmewah kuvumilia kwa mwaka tu ila nilivyojua yy ndo champion wa kutembeza ,aaaaaah mm pia nilipea mwingine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…