Disturbing video shows Police kill unarmed man in Eastleigh

Askari aliyejua sheria hawezi Fanya hivo kama suala ni kuwateketeza hao wahalifu kuna sehemu za kufanya hayo mauaji sio Mbele za RAIA inaleta Picha mbaya na mahakama za nini sasa kama polisi watachukua hatua namna hii
 
Actually those thugs were Somali killed by a Somali police officer. They were mostly harassing other Somalis in Eastleigh
Everyone (almost) in Kenya is tribal including the president! So am not surprised when another kenyan puts a tribal tag on the murder of two suspects in the street, you are just part of the statistics. Next!
 
It was just a btw. Not a tribal thing
 
Kabla hujatukana
Jifunze kuandika kiswahili
Motochini nimekueleza huko kwengine hicho Kiswahili hakina kazi. Bora umeelewa, chieth. Akili duni. People are building Nuclear Reactors nawe uko hapa unaongea kuhusu Kiswahili. Kwani we mswahili ? Fala.
 
The day you will find yourselves in the hands of these pieces of shit, utabadilisha maoni yako. The day they will roll up into your house with ceskas blazing, like they did at mine, I don't know if you will speak the same way. Am sure they have killed people. They even kill cops and take their uniforms. Siezi hurumia Jambazi mimi. Waminywe ndengu hadi kwa mapua for all i care
 
Motochini nimekueleza huko kwengine hicho Kiswahili hakina kazi. Bora umeelewa, chieth. Akili duni. People are building Nuclear Reactors nawe uko hapa unaongea kuhusu Kiswahili. Kwani we mswahili ? Fala.

Sema ulinieleza kule Kenya Talk full ukabila na Chuki,
Nami nilikueleza hakuna Lugha inaitwa Sheng
 
Sema ulinieleza kule Kenya Talk full ukabila na Chuki,
Nami nilikueleza hakuna Lugha inaitwa Sheng
As a Tanzanian, how can you teach Kenyans about phenomena that are entirely Kenyan ? How can your thick self understand the complexities of a dynamic and evolving urban lingua like sheng' ? Ndo maana tunawadharau. akili duni.
 
Sema ulinieleza kule Kenya Talk full ukabila na Chuki,
Nami nilikueleza hakuna Lugha inaitwa Sheng
Nilikuona Kenya Talk ati unalecture Kenyans kutumia Swahili sanifu.....dude!

Uganda threatening to opt for Tanzania SGR

Na si ulipigwa mambao na hao wathii, vile pale huwanga wabaya! Boss, achanga utiaji. Ungestick tu kwa topic, juu wale walikuwa wakibonga ngoso enye najua unaelewa vipoa tu, na wewe kuwachapia hio swa yako tu.

Hiyo ilikuwa ka kuingia kwa keja ya msee na kumshow vile aishi life yake na kudo mambo yake, sio kitu powa aisee. Achana na wakenya wachape swa kistyle yao!
I hope umenyita
 
Umeandika kama umekalia moto!!
Kenya talk haina hata mvuto
upumbavu tu
watu wamekalia chuki tu
kule huwa napita tu na sijawahi kukaa zaidi ya dak 5
Mtu ana kuambia ondoka humu!!
Nikawauliza humu kuna lipi la maana!!
Full ukabila,Chuki
hamtaki wageni kuchangia kwenye kiforumu chenu uchwara
ndio maana Topic ya mwezi mzima ina vws 200 !!

Kenya talk mnaiweza wapuuzi watupu
Ningumu hata uwe na royo kama yapaka
kule huwezi kukaa Nusu saa!!
Mijitu imejaa chuki,Husda na kila ubaya
 
Really?! Kweli kuna ukabila huko Kenya Talk, ama ni perception/expectations zako juu ni Kenyan forum? Mambo hayo hayakubaliki kabisa Kenya Talk.

Sasa hapa ukabila ulikuwa
wapi?

Uganda threatening to opt for Tanzania SGR

Ama hebu leta hizo threads uliona kumejaa cheche za kikabila?

Hakuna aliyekunyima haki ya kuchangia huko, sema tu wewe na hizi kauli zako za kuwaponda wakenya kila mara na kuwasuhudu maalshabb ndio hujutia taabani mle.
 
Kwanza nipe Orodha ya watanzania kule
Nipe orodha ya Wanyarwanda kule
Nipe Orodha ya Waganda kule
jiulize kwa nini Wanashindwa kuwapo kule!!

Mmejaa umimi,Chuki msio penda kukosolewa!!

Usiniwekee link
kule Sinaga shida sana yakwenda
kuingia kule labda baada ya wiki tena napita tu Siona cha maana kunifanya kupenda kwenda kule.
Niheri forum ya kisomali kuliko ya kikenya
 
Mahakama hizi za Kiafrika?
 
Sareana na huyu Mbleina atakueka stress bure. Huyo msee ni fala sana.
 
Heri Nyinyi Watanzania mahakama zenu zinafanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…