Sio kweli mkuu Petroleum (rock + oil) that means petroleum is an Latin name which are formed by two names Petra mean rock and oleum mean oil
Watu wengi wanafikiri mtu akisoma petroleum anasoma tu oil pasipo kugusa gesi
Hivyo nilimaanisha mtu akisoma petroleum anasoma kwa undani sana kuhusu oil+gas
oil / gesi zinatokana na mabaki ya wanyama na mimea wa majini waliokufa miaka mingi iliyopita
Hawa wanayama wakifa kule baharini wanazama chini na kufukiwa na matope na mawe.kadiri wanavyozidi kufukiwa chini yale mabaki yanajikusanya mengi na kuform mwamba unaoitwa reservoir. Kwa sababu chini kwenye ardhi kuna joto kali na hayo mabaki yapo kule kwa mgandamizo mkubwa yanaoza zaidi na kubadilika kuwa mafuta au gesi.
Sasa ili hayo mabaki yabadilike kuwa oil au gasi inategemea kwaza na aina ya hayo mabaki na kule chini yamefukiwa katika kina cha kiasi gani na temperature na pressure ya kule chini ni ngapi
Kwa hiyo mtu anaesoma petroleum huwezi kusema hasomi gesi n vitu vinavyofanana kwa asilimia kubwa kuanzia formation
Pia maengineer wanapochimba visima hawajui watapata gesi au mafuta mwanzoni hivyo nija za kutafuta na kuchimba mafuta au gesi zinafanana tofauti inakuja tu kwenye njia za kuchakata na matumizi japo pia zinarelate kwa kiasi kikubwa
Ukishapata gesi ukiizalisha unaichakata /process illi kuondoa uchafu inabaki pure gas methane then unaisafirisha kwa pipe na kwenda kwa watumiaji
Ukizalisha mafuta unaondo uchafu unayapipe kwenda kwenye refinery plant unaseparate product mabalimbali zilizopo katk crude oil kama petrol,diesel etc. the vinaenda kwa mtumiaji
Pia kati kuchakata gesi kuna product unaweza ukazipata amabazo zinapatikana unapo refine crude oil
Kwa hiyo unaona hapo mafuta na gesi ni vitu vipo similar kwa kiasi kikubwa katika area tofauti