Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lengo lako ni nini sasa?Hizi shahada mbili tofauti, sema kwa kuzingalia utasema ni sawa
Lengo lipo wazi, kutambulisha jamii hasa wanaotaka kusoma hizi kozi ndani na nnje ya nchi kunautofauti mkubwa Sana japonica ktk nchi yetu jamii na ata wasoma huwa hawaoni tofauti mpa waeleweshwe na wanaosoma hz course au wataalam, japo kwa Tz ndio imeanza DIT kama course mpya hivilengo lako ni nini sasa?
Yan hapo, petroleum ni mototo wa kwanza Oil & gas engineering
mhhhhh, ipo DIT hii kitu.Lengo lipo wazi, kutambulisha jamii hasa wanaotaka kusoma hizi kozi ndani na nnje ya nchi kunautofauti mkubwa Sana japonica ktk nchi yetu jamii na ata wasoma huwa hawaoni tofauti mpa waeleweshwe na wanaosoma hz course au wataalam, japo kwa Tz ndio imeanza DIT kama course mpya hivi
Hizi shahada mbili tofauti, sema kwa kuzingalia utasema ni sawa
Hizi shahada mbili tofauti, sema kwa kuzingalia utasema ni sawa
Sio kweli mkuu Petroleum (rock + oil) that means petroleum is an Latin name which are formed by two names Petra mean rock and oleum mean oil
Kwa muhatasari
Petroleum Engineering inahusu elimu ya huko mafuta yanapotoka chini ya ardhi kujua ukubwa wa reservoir, kiasi cha mafuta na gasi vilivyopo ardhini, aina ya miaamba , urahisi wa kuyatoa na kama inawekekana kuyatoa na kupata faida ( commercial )
Oil & Gas Engineering inahusu elimu mitambo unayo iona au inajengwa juu ya ardhi ya utoaji, kusafisha na kusafirisha mafuta na gasi.
Achana nazo hizo koziHizi shahada mbili tofauti, sema kwa kuzingalia utasema ni sawa
Hahaha noma sana hizo mambo hahaha...Achana nazo hizo kozi
Sio kweli, hapo umetupiga changa la machoYan hapo, petroleum ni mototo wa kwanza Oil & gas engineering
Una hakika oil and gas engineering anaijua downstream industry vizuri au hiyo upstream vizuri, nikimpa maswali ya downstream au upstream ataweza kunijibu kwa ufasaha,Oil and gas engineering, unasoma sehemu tatu Upstream, midstream & downstream so Petroleum engineering deal with Upstream only