DIT B.eng in oil & gas engineering Vs B.sc in Petroleum engineering

DIT B.eng in oil & gas engineering Vs B.sc in Petroleum engineering

D
Mkuu hakuna tofauti yoyote unapoenda kusomea

Ukisikia neno petroleum=oil+gas

Oil and gas zote ni hydrocardon compound moja ipo ktk liquid state(oil) na nyingine gas state (natural gas) na njia ya kutafuta,kuchimba na kuzalisha zinafanana

Mfano mtu akisoma petroleum(oil+gas) engineering anaspeciaize katika maeneo yafuatayo


· Petroleum (oil+gas) exploration =utafutaji wa mafuta na gasi

· Petroleum (oil+gas) drilling=uchimbaji wa mafuta na gasi

· Petroleum (oil+gas) production=uzalishaji wa mafuata na gasi

· Petroleum (oil+gas) refinery/processing=uchakataji wa mafuta na gasi

· Petroleum (oil+gas) transportation,stoarage& consumption=usafirishaji,uhifadhi na utumiaji wa mafuta na gasi

Kwa urahisi hayo maeneo niliyoyataja katika soko la mafuta na gsi wanayagawanya katika sehemu kuu tatu

1. Upstream

Means Exploration,drilling& production of oil and gas

2. Midstream

Means refinery/processing of crude oil and gas

3. downstream

Means transportation,storage and cionsumption of oil and gas
Downstream itoe hapo, downstream sio nyepesi kiivo,
 
Mkuu unaposema petroleum (oil +gas) unakosea. PETROLEUM (From Latin😛ETRA mean "ROCK" and OLEUM mean "OIL" so Petroleum (rock + oil), hapo sasa ndio maana ata ukiangalia mitaala ya hizi kozi ndani ya nchi na ata nnje ya nchi inatofauti kubwa sana
Gas ipo ndani ya Petroleum, ukitaka kujua utofauti wa petroleum na oil and gas engineering angalia kozi content
 
Shahada ya uhandisi katika uhandisi wa mafuta na gesi (BE Oil and Gas Engineering) na Shahada ya Sayansi katika uhandisi wa petroli zote ni kitu kimoja.

Kinachoweza kuzitofautisha ni mtaala ambao utatungwa na kufundishwa katika chuo husika.

Lakini unaweza kuamua kufundisha mtaala mmoja.

Wakati mwingine unaweza amua zote zitumie mtaala wa kozi za mkondo wa juu (upstream) au ukaamua zote zitumie mkondo wa chini (downstream) au wakati mwingine ukaamua mojawapo ikatumia mtaala wa kozi za mkondo wa juu na mkondo wa chini.

Kuzitofautisha ni maamuzi ya watunga mtaala ila zote ni kozi moja.

Tunapoanza kutafuta hydrocarbons huwa hatutafuti gesi huwa tunakua na lengo la kutafuta mafuta. Gesi huwa inapatikana kwa bahati mbaya. Na tunapoona mafuta hamna tunaamua kuendelea na gesi.

Hivyo unapotaka kuchagua hizo kozi usiangalie majina. Angalia mtaala wanaotumia.

Kama unataka kuelewa kwa undani mfumo mzima wa mafuta na gesi ardhini na jinsi ya kuchimba na kuzalisha hayo mafuta na gesi ni vyema ukasoma shahada sayansi ya uhandisi wa petroli UDSM.

Kama unataka kuelewa mkondo wa kati kwa kina na kwa mbalii mkondo wa chini. Nenda kasome uhandisi wa mafuta na gesi DIT.

Mwisho wa siku mwaajili akitangaza kazi fulani ataangalia mtaala uliotumia wakati unasoma shahada yako.

Kazi kama ya reservoir engineer inahitaji uwe umeelewa kwelikweli kanuni mbalimbali za reservoir engineering.

Uwe umesoma kozi hizi katika mtaala wako:
1. Geology 1
2. Petroleum geology 1
3. Reservoir fluid properties
4. Reservoir engineering 1
5. Reservoir engineering 2
6. Reservoir simulations: Hapa uwe na uwezo wa kusimulate kwa kutumia MRST, CMG, na ECLIPSE.

Baada ya hapo ndio kuna kozi za
1. Production engineering 1
2. Production engineering 2
3. Drilling engineering 1
4. Drilling engineering 2


Kama mtaala wa shahada mojawapo unagusa vitu hivyo basi hapo utakua unakamilisha kuweza kufanya kazi zote tatu za mkondo wa juu yaani.
1. Mhandisi wa uzalishaji wa gesi au mafuta (Production engineer)
2. Mhandisi wa uchimbaji wa gesi au mafuta (Drilling engineer)
3. Mhandisi wa Reservior
 
Back
Top Bottom