DIT (Dar) au MUST (Mbeya) kwa kozi ya Computer Engineering?

tranter

Member
Joined
Jan 10, 2023
Posts
40
Reaction score
46
Habari wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimechaguliwa kujiunga na chuo cha DIT (Dar es salaam) pamoja na MUST(Mbeya) katika course ya computer engineering.

Swali langu ni je, niende wapi kati ya hivo vyuo ambacho kipo more competent katika kutengeneza engineers katika hyo field?
 
Jidanganye, kuna watu wengi hawajasoma CompScience ila kazi zao wanafanya, alaf kuna kitu kinaitwa AI, hawa wa CompScience na Software Engineering kazi zao zipo hatarini sana.
Software Engineering sasa hivi ni dili saa kwenye kampuni kubwa za Technology

Hata kama AI ipo haiwezi kumreplace mtu moja kwa
moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…