Dit kuna shida ganii???

baghozed

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Posts
532
Reaction score
97
Kwa wale tulio omba Beng katika taasisi ya teknolojia ya dsm(DIT),
Hawa jamaa mbona wako kimya sana na hawajatupa matokeo yetu mpaka sasa au ndio wana subiri NACTE?maswali ni mengi ila majibu hakuna sijui kama kuna mwenye mawazo na hili.
 
Nenda kwa admission officer anaitwa Mr Mzumbi ukajionee bure kabisa
 
Zimeshatoka login kwenye web ya NACTE angalia kwenye profile yako
 
Yap thanx kwa taarifa na wadau tukutane pande hizooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…