Kwa wale tulio omba Beng katika taasisi ya teknolojia ya dsm(DIT),
Hawa jamaa mbona wako kimya sana na hawajatupa matokeo yetu mpaka sasa au ndio wana subiri NACTE?maswali ni mengi ila majibu hakuna sijui kama kuna mwenye mawazo na hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.