Mi ningependa sana kuchukulia degree yangu dit lakin nasikia kwa mwaka huu haitoi priority kwa wale wa A'level ktk swala la mikopo, inawapa priority wale wa diploma 2. na kweli ukiangalia katika tcu guidebook upande wa wale wa diploma wameandikiwa priority ila wa advance hapakuandikwa kitu wameacha blanks. Je hii inamaanisha nikiomba kozi dit ctopewa mkopo?

na wewe umefaulu kwenda chuo?? Ama kweli hii BRN.mi nakushauri usiende chuo coz utadisco.kama tcu guide book unashindwa kuielewa msuli wa engineering hutauweza dogo.
ushampga ngumi tayar,ungemuelimisha tu kisingeharibika chochote kama kudsco hata baed wanapgwa panga as normal..lastly engeneering mkopo ni %zote pale dit