Mi ningependa sana kuchukulia degree yangu dit lakin nasikia kwa mwaka huu haitoi priority kwa wale wa A'level ktk swala la mikopo, inawapa priority wale wa diploma 2. na kweli ukiangalia katika tcu guidebook upande wa wale wa diploma wameandikiwa priority ila wa advance hapakuandikwa kitu wameacha blanks.
Je hii inamaanisha nikiomba kozi dit ctopewa mkopo?
Je hii inamaanisha nikiomba kozi dit ctopewa mkopo?