DIT wametoa majina ya waliochaguliwa direct entry diploma 2014

DIT wametoa majina ya waliochaguliwa direct entry diploma 2014

daaaaa.....! wangetuweka ktk machaguo moja kwa moja maana wengine tulisha apply na kupata vyuo vingine kama vile st.joseph
 
hongera sana mwanang,naona wamekuchagua mulemule. Hiv Mungu akipenda inawezekana kuchagua DIT biomedical eng(degree)

Kwa asa hivi naona bado bachelor ya biomedical haipo DIT
 
Back
Top Bottom