DIT yaanza kuunganisha magari kwenye mfumo wa gesi

Hawa jamaa wafanye kwenye magari yote ya serikali.

Waanze na magari ya misafara.
 
jaman kuna seem nmeitwa kwenye mahojiano utumishi tuko watu 200 ila wanaitaji 65, wa kwanza ana kama alama 51 mimi nina 38 wazee na uko utumishi tunaenda kutafta alama 40, na kwenye usaili wa vitendo tulikua tunatafta 60 je ntaweza kupita kweli na je utumishi wana hoji kwa kiswahili au kiingereza sijui chochote
 
1.8m..??? Maedeleo hayana vyama
 
Sasa kama wenyewe wanasema kilo moja ya gesi inatembea zaidi ya kilomita 20 inakuwaje tena wanasema mtungi wa kilo 15 unawezesha kutembea kilomita 200? Hawaoni kuwa wanajichanganya katika maelezo yao wenyewe? Maana mimi nilitegemea wangesema huo mtungi utawezesha kutembea zaidi ya kilomita 300 badala ya hizo 200.
 
Huo ni wastani, maana kuna foleni na parameters nyingine
 
Overview:
Mfumo mzuri na nafuu kwenye umiliki wa gari, maana gari si kununua tu bali gharama inakuja kulihudumia hasa upande wa mafuta kwa nchi kama zetu.

Kuhusu mlipuko sio kitu cha kuhofia endapo mahesabu ya kitaalam yatahusishwa hasa umakini wakati wa kuifunga, ndio maana tank ya petrol ilopokaa na ilivyounganishwa kwenda kwenye engine bay utagundua kuna mahesabu yametumika na sio kubuni tu. Jirani zetu Kenya wanaitumia hasa 'matatu' zao na hadi leo sijasikia janga na ilihali kwao ajali ni nyingi zaidi.

Kiufundi nimeokoteza moja, spark plug zinashauriwa ziwe CNG ili ziweze kumudu walau mwaka mmoja. LPG ni baridi sana kufananisha na gas ya mafuta ya petrol. Hii itasaidia huo ugonjwa uliosemwa na mdau kuhusu 'car idling' .
 
Wale wa kuinua juu vidumu Lori linapopita wabuni mbinu nyingine..... Sipatipicha wakandarasi wakiwa na magari ya gas sio kwa wizi huu wa mafuta
 
Wataalamu wa gesi msaada hapo.
Hiyo hesi hailipuki kama hii tunayopikia au ni ileile? Maana isije ikawa mtu unatembea na bomu kwenye gari.
Hahahah tena hio ni Bullimistic Missiles,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mafundi wa Kenya unawalinganisha na wanaofunga gesi hapo DiT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…