Ditopile: Nchi yetu inaaminiwa ndiyo maana inakopesheka

Upuuxxzi mtupu. Hiyo siyo sababu ya kifedha wala kibiashara. Kumbe mtu mwenyewe Ditopile!
 
SADC: RATIO OF NATIONAL DEBT TO GDP
1. Zambia 119.14%
2. Mozambique 102.44%
3. Zimbabwe. 92.64%
4. Mauritius. 90.02%
5. Namibia. 71.08%
6. South Africa. 67.99%
7. Seychelles 64.86%
8. Malawi 58.80%
9. Angola 56.56%
10. Madagascar 53.86%
11. Lesotho 50.73%
12. Eswatini 45.80%
13. Tanzania 39.50%
14. Comoros 34.51%
15. Botswana 21.25%

Source: Uchumi Forum Statistics
 
Njia PEKEE ni kufunga akaunti za Simba!
 
Sidhani kama anazo za kumtosha.. Mikopo, madeni ni utumwa
Halafu majitu ya namna hiyo ndiyo yamejazwa Bungeni kama wawakilishi wa wananchi? Tumekuwa taifa la wehu basi, raia tulipaswa kuchukua hatua hata ya kuvamia bunge na kutembeza bakora kwa woliomo mle wajue hatutaki ujinga

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kwa akili zake kazungumza jambo la maana sana la kustahili pongezi??

Haya mambo ya kubebana bebana kwa kuangalia majina ya wazazi yanatupeleka pabaya..
 

Mkuu ishu kubwa hapa hata sio kukopa, tatizo ni kubwa zaidi ya kukopa.

Mzizi wa fitina ni watu kupenda kusifia au kusema kile wanafikiri mtawala anapenda, wako radhi kujitoa akili na uwezo wao wa kufikiri ilibidi hata utu wao ilimradi tu waonekane wako upande wa utawala.

Sikudanganyi Leo hii Sasa hivi mtawala akisema anawasiwasi na mwendo wetu wa ukopaji na atafanya tathmini kuona namna Gani tunaweza epuka mikopo. Hautaamini atakachokisema huyu mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…