Ditram Nchimbi, Zawadi Mauya, Adeyumu Saleh na Ninja hawana uwezo tena wa kuichezea Yanga

Ditram Nchimbi, Zawadi Mauya, Adeyumu Saleh na Ninja hawana uwezo tena wa kuichezea Yanga

issue si hao wachezaji, yanga hamna timu. jana ndio mumeiona timu yenu sasa japo mumeshinda
 
Ndiyo Mauya jana kasababisha timu ishambuliwe kwa kupoteza mipira na kutokukaba lkn tukumbuke alitufanya tuwe mashujaa mbele ya makolo fc, pili fighting spirit ya yanga ilipungua sana second half, tatu yacouba anakosa sana magoli. Ni mugalu wa yanga.
Aisee nimecheka hapo pa youkuba kuitwa mugalu ! Haya watoweNi kwa mkopo!
 
issue si hao wachezaji, yanga hamna timu. jana ndio mumeiona timu yenu sasa japo mumeshinda
kama uliangalia kipindi cha kwanza basis utakubaliana na mm kuwa yanga ni timu bora Africa mashariki na kati
 
Ni wachezaji wa kiwango cha taifa ila unapokwenda kupanda kwenye quality standard bado huwaoni pale at least Job anakuja taratibu na kaseke kwa mbali

Kwa kikosi hiki Faisal ameifikia quality anglau anakwenda sambamba na akina Mayele..sijui benchi la ufundi wanawaza nini...unashindwa kumtumia Saidoo unaweka Zawadi?
job,farid na fei hao sina shida nao mkuu
 
Aisee nimecheka hapo pa youkuba kuitwa mugalu ! Haya watoweNi kwa mkopo!
Yakouba ni mchoyo sana anapokuwa anaelekea golini na mpira pia ana tamaa ya kufunga wakati hajui kufunga .

Nchimbi , Zawadi Maua na Ninja wameanza kujionesha wazi kupwaya katika kikosi wasitumike wajitathimini ikiwezekana watafutiwe mkopo.
 
Hata yule fiston mayele hamna kitu sema kwasababu ameifunga simba uto watanishambulia ila mda ni mwalimu mzuri.
 
Back
Top Bottom