rudia kuangalia marudio ya mechi ya jana, utaona mapungufu take mkuuNinja ameingia kabla dakika 2 kosa lake lipi
Aisee nimecheka hapo pa youkuba kuitwa mugalu ! Haya watoweNi kwa mkopo!Ndiyo Mauya jana kasababisha timu ishambuliwe kwa kupoteza mipira na kutokukaba lkn tukumbuke alitufanya tuwe mashujaa mbele ya makolo fc, pili fighting spirit ya yanga ilipungua sana second half, tatu yacouba anakosa sana magoli. Ni mugalu wa yanga.
kama uliangalia kipindi cha kwanza basis utakubaliana na mm kuwa yanga ni timu bora Africa mashariki na katiissue si hao wachezaji, yanga hamna timu. jana ndio mumeiona timu yenu sasa japo mumeshinda
wewe unayewajua, wanalipi jipya?Unamjua zawadi mauya kweli ww na mwenzake wazir junior au umeanza kuwafuatilia wakiwa yangu yanga
job,farid na fei hao sina shida nao mkuuNi wachezaji wa kiwango cha taifa ila unapokwenda kupanda kwenye quality standard bado huwaoni pale at least Job anakuja taratibu na kaseke kwa mbali
Kwa kikosi hiki Faisal ameifikia quality anglau anakwenda sambamba na akina Mayele..sijui benchi la ufundi wanawaza nini...unashindwa kumtumia Saidoo unaweka Zawadi?
asanteeeSijamaliza KUSOMA ILA NAUNGA MKONO HOJA.
Mngekua mnaongea hivyo wakati Yanga haijatupwa nje ya Champions ligues ningekuelewa,vinginevyo ni kupayuka kama walevi!kama uliangalia kipindi cha kwanza basis utakubaliana na mm kuwa yanga ni timu bora Africa mashariki na kati
Yakouba ni mchoyo sana anapokuwa anaelekea golini na mpira pia ana tamaa ya kufunga wakati hajui kufunga .Aisee nimecheka hapo pa youkuba kuitwa mugalu ! Haya watoweNi kwa mkopo!
Hawa akina nchimbi kuendelea kuachwa jangwani watawapiga misumali wenzaoNi kweli,adeyum kule yupo david bryson sema ni majeruhi,ninja tumuage kwa amani,na mauya kweli uwezo wake mdogo,nchimbi pia tumuage tu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hamna kitu?we vipiHata yule fiston mayele hamna kitu sema kwasababu ameifunga simba uto watanishambulia ila mda ni mwalimu mzuri.
Halafu Mugalu ni Sarpong aliye changamka.Aisee nimecheka hapo pa youkuba kuitwa mugalu ! Haya watoweNi kwa mkopo!