Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Basi Sawa, yaani mie hata asingefanya utafiti, huu wimbo nimeupenda buuure 😉Alifanya utafiti wa kusoma pamoja na kuwauliza wataalamu wa afya kazi za moyo kabla ya kuimba wimbo huo
Sawa. Kiutaalamu hatukatai
Lakini kupenda sio utaalamu... kwaivyo pia kuna kaz nyingne ambayo sio ya kitaalamu moyo unaweza kufanya.....
Hahahahahhahahaah..... hizo duties sasa.... utakuta kusafisha meza ya boss.Hahahaha umenchekesha sana mkuu ni kama vle kwenye job descriptions wanasemaga "and other duties as assigned by manager/supervisor.