DITTO: Kiutalaam Moyo kazi yake ni kusukuma damu tu, hauhusiki na kupenda

DITTO: Kiutalaam Moyo kazi yake ni kusukuma damu tu, hauhusiki na kupenda

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii Ditto aliyeimba wimbo wa Moyo skuma damu, anadai kiutaalam moyo kazi yake ni kusukuma damu pekee na mambo ya hisia za kupenda uchungu, hasira na mengine sio kazi ya moyo bali kuna sehemu ndogo ya ubongo inayohusiana na hayo mambo
Alifanya utafiti wa kusoma pamoja na kuwauliza wataalamu wa afya kazi za moyo kabla ya kuimba wimbo huo
 
Na kweli hayo mengine sijui ya mapenzi moyo unajipendekeza tu na ndio maana mapnz yanakua mabaya siku hizi
 
[emoji445] [emoji445] [emoji445] Usisikize ya mwili yatadanganya moyoo

Usisikize ya mwili yatandanganya moyo

..........[emoji445] [emoji445] [emoji445]
 
Sawa. Kiutaalamu hatukatai
Lakini kupenda sio utaalamu... kwaivyo pia kuna kaz nyingne ambayo sio ya kitaalamu moyo unaweza kufanya.....
 
Kupenda hata kuchukia ni kazi ya moyo pia .
Sema wanasayansi hawajaweza kugundua mechanism inayohusika.
 
Sawa. Kiutaalamu hatukatai
Lakini kupenda sio utaalamu... kwaivyo pia kuna kaz nyingne ambayo sio ya kitaalamu moyo unaweza kufanya.....

Hahahaha umenchekesha sana mkuu ni kama vle kwenye job descriptions wanasemaga "and other duties as assigned by manager/supervisor.
 
Back
Top Bottom