Kwa haraka haraka ninaona kama vile una kipaji cha uandishi wa habari. Kwani u muwazi na hana hofu ya kusema ukweli. Kuna mambo mengi katika uandishi wa habari, Kuanzia kutengeneza gazeti, kuandika ktk magazeti, kupiga picha za habari ktik magazeti, kupiga picha za television, kuandika habari za televisheni na radio, kutengeneza matangazo ya biashara za magazeti, redio na television, na kufanya kazi ya oafisa habari. Kwa kuwaomba wana JF Ushauri kwa kiwango chako una kila dalili ya kufanikiwa kwani una hadhi ya kukaa na watu wa juu kifikra na utafanikiwa. UTAKUWA JUU. nitakupatia ushauri wa vyuo vizuri na utaanza na kozi ya cheti miezi tisa, baadaye diploma, baadaye digriii, baadaye mastaz. Una weza wewe. You are really very brilliant. If you keep on learning you will keep on succeeding.