Div 4.18 nifanyaje????

Div 4.18 nifanyaje????

Usikate tamaa mdogo wangu mm nilipataga div iii form six na nilikosa direct enrollment katika vyuo vya juu lakini nikajikongoja sasa najiandaa kusoma postgraduate diploma. Usikate tamaa.
 
Jamani ni kwamba sina uwezo kifedha na asanteni kwa mchango wenu nitaufanyia kazi.
 
Mimi ni mwalimu na ninasikitika kwamba unataka kusomea ualimu sababu eti 'uwezo wako ni mdogo'. Umenishusha hadhi, mimi na kazi nayofanya

Mkuu, ni kweli hawezi kuwa mwalimu na hasa kwakua anajijua anauwezo mdogo
 
Back
Top Bottom