Wana jf mimi nimemaliza form 6 na nimefanya mtihani kama private candidate na nimepat div 4.18 sijui nifanyeje nilisoma HGK yaan FSE Ndo nimepata, naomba mnisaidie kutafuta vyuo vya diploma na certificate ya ualimu vile vya serikali kwani uwezo wangu ni mdogo sana.
Yaani wewe ni bora hasa, maana tayari unamawazo ya nini cha kufanya. Nenda kasome hiyo Diploma, kisha jiendeleze. Hujachelewa na hutachelewa. Maisha ndio yanaanza kwahiyo hujashindwa maisha. Nami ninacheki inf za Diploma nitakujuza.Wana jf mimi nimemaliza form 6 na nimefanya mtihani kama private candidate na nimepat div 4.18 sijui nifanyeje nilisoma HGK yaan FSE Ndo nimepata, naomba mnisaidie kutafuta vyuo vya diploma na certificate ya ualimu vile vya serikali kwani uwezo wangu ni mdogo sana.
Mimi ni mwalimu na ninasikitika kwamba unataka kusomea ualimu sababu eti 'uwezo wako ni mdogo'. Umenishusha hadhi, mimi na kazi nayofanya
keep in mind jamaa kasema ana uwezo na kozi nyingine si unajua ni expensive kuzisomea, so go ualimu then shift later on katika kazi nyingine that's what i did and seen most people do....
Take easy man lakini huu ni ukweli unaoumiza sana, sikuhizi ualimu umekuwa kimbilio la wale wasiokuwa na option nyingine, hakika hii taaluma muhimu imepoteza kabisa sifa yake!!
Poa tu bro naomba unisaidie kwani sina pa kuanzia kwa sasa mawasiliano yangu ni no.0759447944 , na facebook account kwa jina SAMMYTANTO'S NALOGWA.
Pole sana mkuu usikate tamaa jaribu vyuo vya ualimu kuna kimoja kipo Tanga kizuri kweli nina mjomba wangu aliwahikupita hapo ngoja nimtafute nitakuPM.
Kwa haraka haraka ninaona kama vile una kipaji cha uandishi wa habari. Kwani u muwazi na hana hofu ya kusema ukweli. Kuna mambo mengi katika uandishi wa habari, Kuanzia kutengeneza gazeti, kuandika ktk magazeti, kupiga picha za habari ktik magazeti, kupiga picha za television, kuandika habari za televisheni na radio, kutengeneza matangazo ya biashara za magazeti, redio na television, na kufanya kazi ya oafisa habari. Kwa kuwaomba wana JF Ushauri kwa kiwango chako una kila dalili ya kufanikiwa kwani una hadhi ya kukaa na watu wa juu kifikra na utafanikiwa. UTAKUWA JUU. nitakupatia ushauri wa vyuo vizuri na utaanza na kozi ya cheti miezi tisa, baadaye diploma, baadaye digriii, baadaye mastaz. Una weza wewe. You are really very brilliant. If you keep on learning you will keep on succeeding.
cdhan kama hoja yako ni applicable nowdays! mi nadhan watu wanakimbilia ualim coz ni cheap kusomea na easy kupata employment lakini kwa criteria standards.... mmmh mjaribu ndugu yako mwenye div 0 au hata hiyo iv asiwe na principle a-apply then tupe feedback!Take easy man lakini huu ni ukweli unaoumiza sana, sikuhizi ualimu umekuwa kimbilio la wale wasiokuwa na option nyingine, hakika hii taaluma muhimu imepoteza kabisa sifa yake!!