Qulfayaqul JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 480 Reaction score 84 May 3, 2011 #21 Usikate tamaa mdogo wangu mm nilipataga div iii form six na nilikosa direct enrollment katika vyuo vya juu lakini nikajikongoja sasa najiandaa kusoma postgraduate diploma. Usikate tamaa.
Usikate tamaa mdogo wangu mm nilipataga div iii form six na nilikosa direct enrollment katika vyuo vya juu lakini nikajikongoja sasa najiandaa kusoma postgraduate diploma. Usikate tamaa.
K Kitanto Member Joined Apr 6, 2011 Posts 26 Reaction score 1 May 3, 2011 Thread starter #22 Jamani ni kwamba sina uwezo kifedha na asanteni kwa mchango wenu nitaufanyia kazi.
N nkomelo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 216 Reaction score 44 May 4, 2011 #23 Gurta said: Mimi ni mwalimu na ninasikitika kwamba unataka kusomea ualimu sababu eti 'uwezo wako ni mdogo'. Umenishusha hadhi, mimi na kazi nayofanya Click to expand... Mkuu, ni kweli hawezi kuwa mwalimu na hasa kwakua anajijua anauwezo mdogo
Gurta said: Mimi ni mwalimu na ninasikitika kwamba unataka kusomea ualimu sababu eti 'uwezo wako ni mdogo'. Umenishusha hadhi, mimi na kazi nayofanya Click to expand... Mkuu, ni kweli hawezi kuwa mwalimu na hasa kwakua anajijua anauwezo mdogo