Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Maisha yanabadilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuheshimu kila mtu sio wenye pesa tu
Maisha yanabadilika
Labda anafanya hiyo kazi kwa kujifurajisha, ngoja tuone!
Ilaa... hv kumbe alifukuzwa Mawingu!? Alifanya nn?
Zile project zake zote kubwakubwa ziko wapi?Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku Diva amejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambayo atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond. Ameongea kuwa Diamond amemuajiri baada ya kutatua ugomvi wao walikuwa nao.
Akaulizwa kwanini hivi karibuni alikuwa anamshabikia sana Diamond? Akajibu nilianza kumshabikia baada ya Diamond kufuta kesi dhidi yake mahakamani na ndipo nikaamua kuacha kuwa na ugomvi nae.
Pia soma:Diva aomba kurejea Clouds media apewa sharti la kwenda kufanya kazi wasafi fm.kutambulishwa hivi karibuni