Diva ajiunga na Wasafi Media

Labda anafanya hiyo kazi kwa kujifurajisha, ngoja tuone!

Ilaa... hv kumbe alifukuzwa Mawingu!? Alifanya nn?
 
Alivyotimuliwa mawingu alisema hataki tena kuajiriwa,,ana miradi, maisha ya msasani hana shida.

Maneno yalikuwa mengi, lakini leo naona kawa mpole kabisa.

Maadili yalikuwa sifuri akafukuzwa.
Labda anafanya hiyo kazi kwa kujifurajisha, ngoja tuone!

Ilaa... hv kumbe alifukuzwa Mawingu!? Alifanya nn?
 
Kusema kutenda vyote vina KIASI.

Watu wanasahau sana kuwa na KIASI katika mambo yao.
 
Zile project zake zote kubwakubwa ziko wapi?
 
π™ΌπšπšŠπšπš’ πš—πšŠ π™ΌπšŠπš›πš’πšŠ πš‚πšŠπš•πšžπš—πšπš’

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MODS MBONA MNAPENDA KUUNGANISHA SANA NYUZI,ZANGU SHIDA NINI???


Au,JF imejaa, thread mpya tuache kuandika.

Kitendo hiki kinanikera sana
 
Mkumbuke tu mahari ya kumuoa diva ni bilioni 10

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…