Diva: Alikiba ana uwezo wa kuwa na wake wanne ni muislamu yeye

Diva: Alikiba ana uwezo wa kuwa na wake wanne ni muislamu yeye

DivaDaily

Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
18
Reaction score
15
Mtangazaji Maarufu Star wa Cloudsfm Radio Diva amefunguka Dai la Baadhi ya Team Diamond Kusema Kuwa Alikiba ana Mke (ambae inasemekana wametalakiana) na aache shobo za Kumpost , amekaa na kufunguka ya kuwa ' Alikiba Anampenda sana na ataendelea Kumpost tu' hakuishia hapo pia kupitia XXL week iliopita Mtangazaji huyo alieenda Kuachia Ngoma yake na wanamuziki wa Brick n Lace Na Singah wanaijeria alisikika akisema ' I love Alikiba alot he knows it ' akarudia He is a Good Guy .. al forever support him ,

Amekaa na kukiri Pia yeye ni namba one fan wa Msanii huyo ride or die and anaeza ata akapigwa bomu kwa ajili yake akafa ameelezea kwa kucheka sentence hio al catch a grenade for him and die for him no worries.

angalia akifunguka maisha yake hapa kwenye The Playlist Na Lil Ommy
Diva ameachia kazi aliomshirikisha Killy from Kings Music Brick n Lace Nyanda na Singah from Nigeria na kazi hio kuzungumziwa africa baadhi ya media kubwa ikiwemo Mtvnaija kama ngoma bora ya Mapenzi kwa mwaka 2020 January Hii, Huyu apa Diva mtoto mrembo na Mzuri wa sura

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wewe diva ukija kuolewa mi nakunya mafungumafungu toka ubungo mpaka kariakoo... na msura wako mbaya kama mbuzi (samahani kwa huu mfano maana mbuzi ana sura nzuri zaidi) nani atakuoa? kwanza ni ajuza na fake, atayekuoa atakuwa kauziwa mdoli

afu huku kubwabwaja kumdis domo kumbe ulitaka akupe airtime uachie kijimbo chako? hahahaaah...
 
mkuu taratibu vipi kwani mbona maneno makali sana kwani ulimuomba kipochi manyoya akakunyima ?
 
Back
Top Bottom