Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diva umri wake kama wa wema inategemea na bwana atakae mpata kama 22 naye 21 yani mwaka mmoja nyuma ya bwana atakae kua naehuyo diva anaumri gani?
Hivi hawa watu hawanioni mimi kwa nini? Mbona wanahangaika sana na hawa watoto wakati mi kidume nipo nagawa mbegu mbure kabisaaa Diva njoo kwangu nikupatie ile kitu watu wazima tunafanya..hatuchagui uwanja wa vita popote tunapiga tu....hakika utapoza nafsi kwa mahaba teletele bint wa Jamali...![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
dogo janja je?Vyombo vya habari kwasasa vinawatengenezea kiki wasanii ili wawe maarufu
Kuna watu wanapewa pesa kabisa kwaajili ya kutengeneza kiki.
Mkiendelea kuamini haya mahusiano ya kuchorwa ili kumpush mtu mmoja kimuziki mtakuwa mnachekesha sana.
Kila kitu kinapangwa na kinajulikana na pande zote!
Hawa si hawavukagi miaka 29 kama wema sepetu&co.Diva ni Malaya aliekubuu kabisa umri WA miaka zaidi ya 35 tayari juwa limezama bado wanangangania vijana wadogo tu
Kifaru[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]Na huyo kifaru pembeni yake ana miaka ngapi? Ili tufanye ANOVA tests tujue if there is significant age variation.....Just normal statistics..
Sasa je! Mtu analiliwa kiasi hicho si ni kifaru?Kifaru[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
Naomba hiyo clip nisikie anayokataliwa pkzhuyo diva anaumri gani?
hahaaa mungu wa Sikh hizi nikijana ..!! hachelweshi mambo ni tit for tatMungu Wa siku hizi ni kijana mkuu, ukizingua unalipwa papo kwa hapo! Gk siyo romantic haya endelea na lunatic!
Diva Ana miaka mingapi? Nimeanza kumuona kwenye video ya Jonita ft Mr Blue Pingu na Deso mwaka 2005-2007 na alikuwa Binti mkubwa tu kimuonekano kwenye video.![]()
Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
uko tayari kubeba na hivyo virusi vyakeeeeeeeee?Hivi hawa watu hawanioni mimi kwa nini? Mbona wanahangaika sana na hawa watoto wakati mi kidume nipo nagawa mbegu mbure kabisaaa Diva njoo kwangu nikupatie ile kitu watu wazima tunafanya..hatuchagui uwanja wa vita popote tunapiga tu....hakika utapoza nafsi kwa mahaba teletele bint wa Jamali...
Mmmh sidhani kama hata Malinzi mwenyewe anafurahishwa na vituko vya mwanae
Vituko vya TFF au kuna vingine tena vya MalinziWe unafikiri hata sisi wenyewe tulifurahishwa na vituko vya huyu ndugu Malinzi? Karma is a bitch.
48 yearshuyo diva anaumri gani?