Diva amwagwa hadharani na Heri Muziki mbele ya watangazaji wenzie, ataka kuzimia

mapenzi ya kuzalilishana mitandaoni ni shida
 


Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
Hivi hawa watu hawanioni mimi kwa nini? Mbona wanahangaika sana na hawa watoto wakati mi kidume nipo nagawa mbegu mbure kabisaaa Diva njoo kwangu nikupatie ile kitu watu wazima tunafanya..hatuchagui uwanja wa vita popote tunapiga tu....hakika utapoza nafsi kwa mahaba teletele bint wa Jamali...
 
dogo janja je?
 
Na huyo kifaru pembeni yake ana miaka ngapi? Ili tufanye ANOVA tests tujue if there is significant age variation.....Just normal statistics..
Kifaru[emoji33] [emoji33] [emoji33] [emoji33]
 
Unamuachiaje MUNGU uzinzi wako?....pambana na hali yako.....fuata wakubwa wenzako huna hwla za kununua Dogo.....
 
Dogo hongera angekuharibia future yako kwa vitu vidogo vidogo
 
Nilichogundua katika hiyo Drama ya So called Diva ni Kiki tu ya kutoa wimbo wake tu hakuna kingine.
 
Mungu Wa siku hizi ni kijana mkuu, ukizingua unalipwa papo kwa hapo! Gk siyo romantic haya endelea na lunatic!
hahaaa mungu wa Sikh hizi nikijana ..!! hachelweshi mambo ni tit for tat
 


Dogo ana miaka 22 anavaa vipensi namna hii unategemea ataweza kuongea maneno ya busara redioni
Diva Ana miaka mingapi? Nimeanza kumuona kwenye video ya Jonita ft Mr Blue Pingu na Deso mwaka 2005-2007 na alikuwa Binti mkubwa tu kimuonekano kwenye video.
 
uko tayari kubeba na hivyo virusi vyakeeeeeeeee?
 
Mmmh sidhani kama hata Malinzi mwenyewe anafurahishwa na vituko vya mwanae


We unafikiri hata sisi wenyewe tulifurahishwa na vituko vya huyu ndugu Malinzi? Karma is a bitch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…