katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Wenenda google andika hivyo halafu view all uniambie kama hiyo nyumba na ulizoziona zipi ni nzuri.Tuletee hapa basi mamito tuzione
Nilivyo na tabia za ki Tomaso si nimeenda kugugo kweli mweh aibu nimeona mimiWenenda google andika hivyo halafu view all uniambie kama hiyo nyumba na ulizoziona zipi ni nzuri.
Halafu halafu uige designs zake.
Aibu gani hiyo tena my dear.Nilivyo na tabia za ki Tomaso si nimeenda kugugo kweli mweh aibu nimeona mimi
Hilo jina hakuna hata linapoonekana bora hata nikigugo jina langu yanakuja matokeo yangu ya fomfoo ya divishen 5Aibu gani hiyo tena my dear.
Wewe ni mwongoo kabisa kabla sijakuambia niligoogle na nikaona nyumba kibao so weww mwongo nauwakika.Hilo jina hakuna hata linapoonekana bora hata nikigugo jina langu yanakuja matokeo yangu ya fomfoo ya divishen 5
Wewe ni mwongoo kabisa kabla sijakuambia niligoogle na nikaona nyumba kibao so weww mwongo nauwakika.
Nimekuambia katoto kazuri houses utaonaYaani linakuja full hivyohivyo katoto kazuri? Kuna ambazo zinakuja katoto peke yake na zingine kazuri peke yake na maneno mengine
Hamna bwana mbona unaning'ang'aniza we katoto vipi???Nimekuambia katoto kazuri houses utaona
Basi poa yameisha .Hamna bwana mbona unaning'ang'aniza we katoto vipi???
yote hii sababu ya "karantini"πππππ
Naona makaburi yanafukuliwa moja baada la jingine.