warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #21 miss chagga said: Hongera ila mchora ramani duh Click to expand... aaah mwenzangu umeona eeh? mchora ramani katisha,lol sio kwa ramani ile
miss chagga said: Hongera ila mchora ramani duh Click to expand... aaah mwenzangu umeona eeh? mchora ramani katisha,lol sio kwa ramani ile
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,811 Reaction score 49,053 Jan 31, 2017 #22 warumi said: aaah mwenzangu umeona eeh? mchora ramani katisha,lol sio kwa ramani ile Click to expand... Katisha hasa hatari
warumi said: aaah mwenzangu umeona eeh? mchora ramani katisha,lol sio kwa ramani ile Click to expand... Katisha hasa hatari
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #23 EMMYGUY said: Hahahaaa.... Itakuwa amewaringishia mashost zake, anyway atakuwa amefanya kwa kadri ya uwezo wake. Ama kweli u-super staa unatafutwa. Click to expand... sasa kuhangaika na ghorofa uchwara ndo nini? c angejenga tu nyumba ya kawaida mfyuuu, nyumba inatisha
EMMYGUY said: Hahahaaa.... Itakuwa amewaringishia mashost zake, anyway atakuwa amefanya kwa kadri ya uwezo wake. Ama kweli u-super staa unatafutwa. Click to expand... sasa kuhangaika na ghorofa uchwara ndo nini? c angejenga tu nyumba ya kawaida mfyuuu, nyumba inatisha
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #24 Jaslaws said: Nyumba ka godown la pamba Click to expand... aaah HAUNTED HOUSE
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,560 Reaction score 15,864 Jan 31, 2017 #25 Hiyo ramani kama kanisa la gwajima anyway hongera yake
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,518 Reaction score 13,144 Jan 31, 2017 #26 hongera zake.
gemmanuel265 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 8,485 Reaction score 18,048 Jan 31, 2017 #27 Hili mbona banda tu wala siyo la kulingia mbele za watu
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #28 chotera said: Hiyo ramani kama kanisa la gwajima anyway hongera yake Click to expand... aaah mnanivunja mbavu
chotera said: Hiyo ramani kama kanisa la gwajima anyway hongera yake Click to expand... aaah mnanivunja mbavu
Mwafwaa JF-Expert Member Joined Jan 9, 2017 Posts 452 Reaction score 239 Jan 31, 2017 #29 Ni kweli lake? Maana insta kila mtu ana nyumba na gari
The Bleiz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2012 Posts 5,070 Reaction score 13,511 Jan 31, 2017 #30 Kakosea kuandika bhana ni gereji anataka kufungua.
mkudugwa JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 226 Reaction score 221 Jan 31, 2017 #31 Daah yani nimechekaa hizi comments mpaka watu niliokaa nao wananishangaaa yani kama Diva anaingia humu Jf anaweza kulia.
Daah yani nimechekaa hizi comments mpaka watu niliokaa nao wananishangaaa yani kama Diva anaingia humu Jf anaweza kulia.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,433 Reaction score 56,810 Jan 31, 2017 #32 EMMYGUY said: Hahahaaa.... Itakuwa amewaringishia mashost zake, anyway atakuwa amefanya kwa kadri ya uwezo wake. Ama kweli u-super staa unatafutwa. Click to expand... Kweli kabisa aisee
EMMYGUY said: Hahahaaa.... Itakuwa amewaringishia mashost zake, anyway atakuwa amefanya kwa kadri ya uwezo wake. Ama kweli u-super staa unatafutwa. Click to expand... Kweli kabisa aisee
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #33 Mwafwaa said: Ni kweli lake? Maana insta kila mtu ana nyumba na gari Click to expand... aaaah mwenzngu haieleweki, anajua yeye na Mungu wake
Mwafwaa said: Ni kweli lake? Maana insta kila mtu ana nyumba na gari Click to expand... aaaah mwenzngu haieleweki, anajua yeye na Mungu wake
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #34 mmmh huyu diva jeuri ya kujenga hyo nyumba ya mizimu anaitoa wapi mxieee
Clueless14 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 3,108 Reaction score 4,751 Jan 31, 2017 #35 Huyu demu muongo kama wema sepetu. Hamna cha kuamini hapa wala pongezi kwa nyumba isiyo yake
P Paul S.S JF-Expert Member Joined Aug 27, 2009 Posts 6,407 Reaction score 3,260 Jan 31, 2017 #36 Kudadeki hiyo nyumba kwa haraka haraka imeisha ramba zaidi ya molioni 200 Labda kama kahongwa Lakini sio kwa mshahara wa clouds na ads za insta
Kudadeki hiyo nyumba kwa haraka haraka imeisha ramba zaidi ya molioni 200 Labda kama kahongwa Lakini sio kwa mshahara wa clouds na ads za insta
Ibada ya kwanza JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 3,282 Reaction score 1,810 Jan 31, 2017 #37 Nyumba kama mnara wa babeli
Mr.Wenger JF-Expert Member Joined Nov 20, 2014 Posts 2,569 Reaction score 6,165 Jan 31, 2017 #38 Hiyo kama sio Chanika basi Vikindu [emoji3]
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #39 Ibada ya kwanza said: Nyumba kama mnara wa babeli Click to expand... aah aah jameni msameheni dada wangu sio kwa michambo hii
Ibada ya kwanza said: Nyumba kama mnara wa babeli Click to expand... aah aah jameni msameheni dada wangu sio kwa michambo hii
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,218 Reaction score 18,440 Jan 31, 2017 Thread starter #40 Paul S.S said: Kudadeki hiyo nyumba kwa haraka haraka imeisha ramba zaidi ya molioni 200 Labda kama kahongwa Lakini sio kwa mshahara wa clouds na ads za insta Click to expand... amuonge nani na wewe binamu? hiv mndhan wahongaji hawana akili nzuri au?
Paul S.S said: Kudadeki hiyo nyumba kwa haraka haraka imeisha ramba zaidi ya molioni 200 Labda kama kahongwa Lakini sio kwa mshahara wa clouds na ads za insta Click to expand... amuonge nani na wewe binamu? hiv mndhan wahongaji hawana akili nzuri au?