Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Diva aonyesha Mjengo wake mpya

a5e7e54fa8b0ca87f5467e4768d2e491.jpg
Angeomba na ushauri basi,sasa hilo si godown
 
Diva The Bawse sio mtu wa mchezo mchezo,
amewaonesha mashabiki jambo ambalo
limewashtua katika mtandao wa Instagram.
Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha
Clouds FM, amepost picha katika mtandao huo
ya mjengo wake anaodai anaujenga huku akiweka
wazi kuwa utakamilika ifikapo mwaka 2018.
“Tusichukuliane POA ila nene Hard work Pays
Aisee, don giv Up guys !. focus and Msidharau
Online ads , Haya Matangazo ya Insta By 2018
yatamaliza Hii nyumba yangu. Tuseme Inshaallah
,” ameandika Diva katika picha ya nyumba
hiyo.
Endapo nyumba hiyo itakamilika itamfanya
mtangazaji huyo kuwa miongoni mwa mastaa
wenye mijengo mikali hapa Bongo.
Ametumia pesa nyingi kujenga godown la kuishi... angepata mshauri wa ramani ingemsaidia sana...
 
Architecture atafutwe mara moja hiyo nyumba ya kuishi ama ukumbi wa mikutano na nikosa la jinai nyumba kama hiyo kwa bati hizo,
Ni kama mtu anunue mbao za mihama,au minazi apauliye bati za vigae haileti maana.
 
iwe shapealess iwe ghorofa la mabati iwe hakuna ground floor ni ya kwake.
wengine humu wanaishi stoo chumba kimoja kitanda + ndoo za maji + vyombo + magunia ya mkaa + cup board na mibegi ya kusafiria vyote hivi ndani ya chumba kimoja cha futi 10 tu
siku zote mtu mwenye mafanikio ndio anaechukiwa check it out
keep in touch
 
Hongera kwa Diva, wanawake tunaweza sana Ku hard work Tuseme InshaAllah
 
Back
Top Bottom