Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Diva aonyesha Mjengo wake mpya

1f58d3a7b7358015ac9d16acfe71c16c.jpg
mbona kama nyumba ya kuku!!!
 
hongera yake ila hapo kwenye bati kayumba sana angetafuta hata ya Rangi maana hapo 3yrs kutu zishajaa
 
Kwa hiyo mkuu watu waliopondea nyumba ya Diva wote ni wanawake?
Mkuu sijasema hivyo , tumia % kupima hayo ninayo yasema ,wapo wanaume na wanawake pia ila mara nyingi wanawake ndio wanaongoza kuchukukia ya wenzao
 
Hiyo sio Nyumba ya ghorofa ila ni nyumba zilizopandana!!
kuna thread mmoja wachangiaji walikua wanamtukama malinzi wa tff kuhusu diva alichokijibu mi"mungu awasaidie na nyie mzae watoto wa like.".ifelt sorry for him..!!
 
Unataka kitu kikubwa wakati una hela ya ngama.. mwache ajenge nyumba kama hostel
 
Back
Top Bottom