alishawahi nitukana kule insta kipindi kile ameweka buttocks selfie. sasa mimi kukomenti nilichokiona dahh nilitukanwa utafikirri ananijua.
huyu dada ana maringo sana na kinachompa maringo, amesifiwa na kuimbwa kwenye miziki mingi. japo ni sunnah kuringa ila jamani apunguze matusi. kama wewe ni celeb inabidi upokee changamoto kisha uzitumie kama matofali ya kufika juu. mimi ni pessimist