Diva asherekea siku ya kuzaliwa kwa mwaka mara mbili

Diva asherekea siku ya kuzaliwa kwa mwaka mara mbili

Atakuwa ni kiumbe wa ajabu kuwahi kutokea kwenye dunia hii, mana amezaliwa mara mbili.
 
alishawahi nitukana kule insta kipindi kile ameweka buttocks selfie. sasa mimi kukomenti nilichokiona dahh nilitukanwa utafikirri ananijua.

huyu dada ana maringo sana na kinachompa maringo, amesifiwa na kuimbwa kwenye miziki mingi. japo ni sunnah kuringa ila jamani apunguze matusi. kama wewe ni celeb inabidi upokee changamoto kisha uzitumie kama matofali ya kufika juu. mimi ni pessimist
Walimsifia ili wamle mapenzi tu...sasa hivi umesikia nani anaemsifia?
 
Aiseeee duu huyu si mwanachama WA kijani watamchangia
 
Back
Top Bottom