Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Mbona uzi huo nautafuta siuonii Heaven
upo kule modes wanafuta badhi ya comments maana watu wameanika hadi PM anazotuma
mie mwenyewe kani PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona uzi huo nautafuta siuonii Heaven
Na mimi kanitumia muda si mrefu nimechambwajee
sa unajuaje kama hiki kiwanja kinafaa na ni kizuri
ndio maana akawa na matwin bas mmoja wa prezoo na mwingine wa GK mutoto ya mheshimiwa
hahaha ila kila kitu ni possible ni juhudi na huyu bidada kaanza kujituma anataka afunike wema P ilikuwa chini anataka aipandishe.ndio maana akawa na matwin bas mmoja wa prezoo na mwingine wa GK mutoto ya mheshimiwa
duh kweli kuna watu wakorofi poleni.Mie amenitumia sijui sikupendi sijui vitu gani kanikera hadi nikaamua kumjibu
mbona kama sielewi kama kibendi kilishafika 5 month na prezo walipigana vibuti kama miezi 3 iliyopita hapa mbona kama mgeni kdg?Au sijapata habari inavyotakikana?
akapanue tena atupiwe ila safari hii si mapacha tena
Apanue tena alengwe