Diva asimulia alivyoumia baada ya kuharibika kwa mimba yake ya miezi 5 (mapacha), ni wa GK

Pole sana Diva utapata wengine mpe hi shem wajina King GK sio kama naimba bali nalia namlilia msichana mzuri akajitoa sadaka....Itikadi zetu ni ku-make mshiko kusaka bingo...
 
sa unajuaje kama hiki kiwanja kinafaa na ni kizuri

Yani lazima kinakaguliwa 😉

Nyasi ziwe zimekatwa vizuri...

Uzio bado uko imara..nk

Match kama hizi huwa hazihitaji refa.. 😉
 
ndio maana akawa na matwin bas mmoja wa prezoo na mwingine wa GK mutoto ya mheshimiwa
hahaha ila kila kitu ni possible ni juhudi na huyu bidada kaanza kujituma anataka afunike wema P ilikuwa chini anataka aipandishe.
 
mbona kama sielewi kama kibendi kilishafika 5 month na prezo walipigana vibuti kama miezi 3 iliyopita hapa mbona kama mgeni kdg?Au sijapata habari inavyotakikana?

inawezekana jamaa alikuwa anakula kimya kimya.
 
akapanue tena atupiwe ila safari hii si mapacha tena
 
MIS-CARRIAGE

Matatizo ya Kupata Mimba Uzeeni
Kulala na Wanaume Wengi Kabla ya Kuolewa
Kutotlatoa Mimba huko Nyuma

Yanawatokea Puani, Try Again!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…