Mkuu pale kwenye mambo ya naniliu ndio pake,kiba kishakua ka teja>>> Anachokisema NI KWELI HUYO demu jokate ni Gundu Ndio maana HASHEEM THABIT alikuwa anaporomoka na alipostuka Akamkimbia..>>> kiba akiachana na huyo atapata heshima yake.
<<< kweli mkuu we subiri akimuacha tu utaniitikia>>[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] we jamaa bhana
>>ha ha ha ha ha ha ha ndio anakwisha hivyooooo KIBA daah huyu DEMU siyo Kabisa Anamkwanja sana ila NUKSI !!>>Mkuu pale ya naniliu ndio pake,kiba kishakua ka teja
Dah, pole kiba...Mkuu pale kwenye mambo ya naniliu ndio pake,kiba kishakua ka teja
GunduGundy ni kitu gain?
Anafaa awe na Nan?Hahaha leo insta hapatoshi
Ila kiukweli joket hana gundu alikiba ndio ana gundu [emoji28]jokate hafai kua nahuyu jamaaa
Alikua mc anaita wasanii kwwnye stageKwan kiba alifanya nn pale fiestan jana?
ohooo,mtoto mbaya yule!Umejuaje aisee?