Diva ataja sababu za Alikiba kushindwa kung'aa, team Jokate wamjia juu

Diva ataja sababu za Alikiba kushindwa kung'aa, team Jokate wamjia juu

Gundy ni kitu gain?
huyu ni mdudu anayefanana na mende na hasa wanakuwa rangi ya kijani kibichi, nilikuwa nawaona sana tabora kipindi cha masika, mdudu huyu anasifika kwa kutoa harufu kali sana kama ya karo za mavi, akiingia kwenye chakula hakiliki, nguo haivaliki, lazma ukimbie, hang'ati ila ushuzi wake ndugu usipime,
 
Huo ni wivu tuu... Kiba kashindwa mwenyewe halafu ana singiziwa Jokate?
Diva huwa anampenda kiba
 
Huo ni wivu tuu... Kiba kashindwa mwenyewe halafu ana singiziwa Jokate?
Diva huwa anampenda kiba
Saana!Diva anampenda Kiba kimahaba hasa mpaka anashindwa kujizuia,kuna kipindi alimvaa Jokate bila hata sababu,alimtolea maneno ya kejeri mpaka tukashangaa?!yaani bila sababu...kumbe Ni mahaba yake kwa Alikiba maskini[emoji23][emoji38]
 
Hicho kidiva sijui kipoje kinafanya mambo hayaendani na umri wake
 
huyu ni mdudu anayefanana na mende na hasa wanakuwa rangi ya kijani kibichi, nilikuwa nawaona sana tabora kipindi cha masika, mdudu huyu anasifika kwa kutoa harufu kali sana kama ya karo za mavi, akiingia kwenye chakula hakiliki, nguo haivaliki, lazma ukimbie, hang'ati ila ushuzi wake ndugu usipime,
Pia anataka kufanana na digidigi.......anapendelea kula vyura
 
Yeye mwenye nyota mbona hajampandisha yule mpenzi wake GK
 
Kiba alimshukuru Jokate na mwingine kwa vazi lake la jana usiku, maybe ndio maana Diva kampa yake. Ila tunajua Jokate anampenda Hashimu T.
Jamn mm naichukia hyo kapo ya kiba na jokate[emoji35]yaan jokate haendan kabisa na kiba jamaniii...hivi huyu jokate na ujanja wake wote anaend kupenda hii toto y kariakoo zero brain? Wakizaa watoto watakua hewa kama baba yao
diva naye nyapu nyapubtu
 
Kumekucha,shoo ya fiesta kafanya mbovu mpaka basi,na kule MTV EMA ndio hivo kadondokea pua.Badala lifanye muziki muda wote linatengeneza majungu,halafu DIAMOND mwenyewe hana hata time ya kumjibu.
 
Anafaa kua na watu wenyw heshima zao wambao hawako kwwnye spot lights ameenda kuzoea hilo jitu khaaaa yaan hapo ndio namshushaga jokate
Kila shetan Ana mbuyu wake
 
Baada ya Alikiba kushindwa kupata shangwe iliyotarajiwa kutoka kwa mashabiki huku jina la mpinzani wake diamond likitawala japokuwa hakuwepo kwenye tamasha hilo.
Diva mtangazaji na shabiki mkubwa wa Alikiba ametoa sababu ya staa huyu kushindwa kung'aa kupitia twitter
View attachment 430007
Diva anadai jokate ndo kikwazo cha nyota ya alikiba kushindwa kung'aa.
Hata hivyo mashabiki wa jokate hawakuvumilia na kuanza kumwagia matusi
Theoretical words.......siamniii[emoji126]
 
Mh hapo kiba akipita akaona huo ushauri wa diva nae atafanya kweli,atapiga mtu buti,na hivi anavyoamini hayo mavitu!!!!!! Ngojeni tu mtasikia
 
Back
Top Bottom