Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
huyu ni mdudu anayefanana na mende na hasa wanakuwa rangi ya kijani kibichi, nilikuwa nawaona sana tabora kipindi cha masika, mdudu huyu anasifika kwa kutoa harufu kali sana kama ya karo za mavi, akiingia kwenye chakula hakiliki, nguo haivaliki, lazma ukimbie, hang'ati ila ushuzi wake ndugu usipime,Gundy ni kitu gain?