Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Yap ukiona mwanaume anakusifia sana jua anataka k tena wale wa kupita pita tu huwa wanasifia wanaweza kukuambia we beyonceMwanamke anapenda kusifiwa. Hapo ndio wanaume hupitia. Wanawake asilimia kubwa hawapendi kuambiwa ukweli!
Mathalani mwambie ukweli kuhusu sura yake kama ni mbaya "panachimbika"
Mpe sifa iki uendelee kutumia!
Basi hapo ndio kwenye weak point mwanamke anaponasiwa! Mpaka anaona ana sifa za kulipwa dowry 500ml.Yap ukiona mwanaume anakusifia sana jua anataka k tena wale wa kupita pita tu huwa wanasifia wanaweza kukuambia we beyonce
Hahahahaha kumbe anafaa kwa laki 5 tuBasi hapo ndio kwenye weak point mwanamke anaponasiwa! Mpaka anaona ana sifa za kulipwa dowry 500ml.
Mbona anadai yeye MDIGO kwao Muheza?Huyo kaisiki mashauzi mengi ila kapigwa free p
kumbeMdogo wake na Mke Wa Chriss mauki mariam lukindo sio mbaya diva kaenda kuzalia sehemu salama...kama n kwl...
Mtoto Keshakua, Hivi Birthday itakua ni lini ili tuandae zawadi kabisa !!Wasalaam...
Habari za haraka zinasema yule mtangazi mzuri kuliko watangazi wote nchini na mwenye shape nzuri kuliko watangazaji wote africa mashariki na kati Diva "loveness" ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha mahaba Clouds Fm ametundikwa mimba na mtangazaji mwenzie Michael Lukindo a.k.a "informer"
Inasemekana kijana informer alitumia ule mwanya wa Diva kubwagwa hadharani na kugeuka kama mfariji wake na mwisho wa siku wakaangukia kwenye mapenzi huku wakifanya kazi ktuo kimoja...
Baada ya muda Diva alimwambia informer kuwa nina mimba lakini ndugu Michael alipokea habari hiyo kwa furaha na alikuwa kwenye process za kuacha kazi na kuanza kufanya muziki kama msanii...
Hongera sana Diva...
Ndugu infomer usimtelekeze DivaView attachment 744109