Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie

Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie

Haa haa haa aiseee wee jamaa
Naona ndo mrith wa warumi
Kwa kuwa na ubuyu wenye mashiko
 
Mdogo wake na Mke Wa Chriss mauki mariam lukindo sio mbaya diva kaenda kuzalia sehemu salama...kama n kwl...
 
Wasalaam...
Habari za haraka zinasema yule mtangazi mzuri kuliko watangazi wote nchini na mwenye shape nzuri kuliko watangazaji wote africa mashariki na kati Diva "loveness" ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha mahaba Clouds Fm ametundikwa mimba na mtangazaji mwenzie Michael Lukindo a.k.a "informer"

Inasemekana kijana informer alitumia ule mwanya wa Diva kubwagwa hadharani na kugeuka kama mfariji wake na mwisho wa siku wakaangukia kwenye mapenzi huku wakifanya kazi ktuo kimoja...

Baada ya muda Diva alimwambia informer kuwa nina mimba lakini ndugu Michael alipokea habari hiyo kwa furaha na alikuwa kwenye process za kuacha kazi na kuanza kufanya muziki kama msanii...

Hongera sana Diva...
Ndugu infomer usimtelekeze DivaView attachment 744109
Huyo informer bila shaka anajua KIINGEREZA vizuri.
 
Bora abebe mimba awe busy kulea na kubadilisha nepi mtoto apunguze mengine
 
Wanaume nyie waongo sana
Mwanamke anapenda kusifiwa. Hapo ndio wanaume hupitia. Wanawake asilimia kubwa hawapendi kuambiwa ukweli!
Mathalani mwambie ukweli kuhusu sura yake kama ni mbaya "panachimbika"
Mpe sifa iki uendelee kutumia!
 
Back
Top Bottom