Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie

Diva atundikwa mimba na mtangazaji mwenzie

Dah kama ni kweli basi pasipo na shaka yoyote nasema jamaa alipiga kavu[emoji13]
Mkuu hao viumbe huwa wako sensitive sana ukitembeza soft touch maeneo muhimu, huwa wanajiingizia wenyewe mkunyenye kwa kupagawa halafu huwa wanakuja kukumbuka ndonga baada ya kumaliza show
 
Siku zote mwanamke anachosema sio kweli 500mil ziko wapi
 
kwani amemuoa au amempa mimba...??? Alisema atakaye-muoa ndio atatoa 500M so huyu msela kampa mimba tuu.. 😉😉😉😉
 
Ngoja nimskilize waziri wa mashauri wa mambo ya kigeni anasemaje... Kuhusu hiyo mimba
 
Kwamba watangazaji wazuri wapo wengi lakini yeye amewazidi wote si ndiyo?
 
Mzigua bado wewe nitafumua mimba kati ya mguu yako itokee tumboni, baada miezi 9 utairudisha kupitia palepale ikiwa na kilo 3 plus. Ila kupekana kwa bashite hakumo.[emoji58][emoji58][emoji3][emoji3]
 
Mzigua bado wewe nitafumua mimba kati ya mguu yako itokee tumboni, baada miezi 9 utairudisha kupitia palepale ikiwa na kilo 3 plus. Ila kupekana kwa bashite hakumo.[emoji58][emoji58][emoji3][emoji3]
hahaha we mchz umetisha sana
 
Huyu bwana shemela mbona kama anatumia kitaulo! Mijianaume kama hii kudate nao ni hasara sana!
 
Huyu ndo wakutoa mil 500 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa anavyoonekana hapa ni wale wanaolelewa [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahaha
 
Back
Top Bottom