Diva, Aunty Ezekiel ndani ya bifu zito, kisa ujauzito

Labda hicho kibibi kilikuwa refa!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Diva anapendaga kujifanya cute mwenyew, yan anatumia nguv nying kuonekan baby face wakat lizee kabisa

Hahahaa binamu hao kila ki2 kwao n fake kuanzia maisha,sura,tabia ila mwaka huu 2014 itakua mwisho wao.2015 watakua hawana jipya ila tutasikia wengine wanagombea viti maalum ccm
 

Yaan stress za kutukanwa mitandaoni zinamsumbua diva inamhusu nin.au alitaka abebe yeye
 
mbn aunty alivoambiwa anatembea na moses alikua kimya tu,kumbe mke wa mtu kutoka nje ya ndoa n sawa ila kuwa na mimba ya mchepuko ndo haitakiwi,hapo anti yake nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…