Diva, Aunty Ezekiel ndani ya bifu zito, kisa ujauzito

Diva, Aunty Ezekiel ndani ya bifu zito, kisa ujauzito

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
JAMBO limezua jambo

Staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amemvaa prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ' Diva ' kwa madai kwamba amemtangaza mitandaoni kuwa amepachikwa ujauzito na mume wa mtu ambaye ni densa wa Nasibu Abdul ' Diamond ' , Moses Peter ' Moze Iyobo ' , jambo ambalo ni uongo.

Prizenta wa Kipindi cha Ala za Roho cha Redio Clouds FM, Lovennes Malinzi ‘Diva' Akizungumza kwa masikitiko ya hali ya juu, Aunt alisema kuwa hakutegemea mtu kama Diva angetumia nafasi yake ya utangazaji kumchafua akimsingizia kuwa ni mjamzito, jambo ambalo limemsababishia matatizo kwenye ndoa yake na mumewe Sunday Demonte.

"Mwanamke kuwa mjamzito si jambo baya lakini kunichafua mbele ya jamii eti nina mimba ya Moze Iyobo, imeniuma sana. "Hebu vuta picha wakwe , mawifi na mashemeji ambao tayari wameshasikia na kusoma kwenye ukurasa wa Diva, akisema mimi nina mimba ya yule mtoto, dah ! Nimeumia sana, kwa kweli siwezi kuliacha lipite hivihivi.

Staa wa sinema za Kibongo , Aunt Ezekiel Grayson "Huyo Diva lazima nitasimama naye mahakamani, " alisema Aunt. Hivi karibuni , kwenye ukurasa wake wa Instagram, Diva aliandika: "Wakati sakata la mtoto mzuri Aunt Ezekiel ana mimba ya Moze Iyobo likipamba moto, mimba ambayo ni tangu Mwezi wa Ramadhan, sasa hesabuni miezi , hapa ni miezi miwili au mitatu."
 
Kwakweli hivi Clouds media hawaoni kama huyu mgonjwa ana waharibia reputation ya radio yao?

Hata hivyo Diva na Ezekiel hakuna mzima hapa!
 
Mahakama gani hiyooo labda ya kuzimu
 
Hii redio inawekaje watu kama hao! Anawaharibia sana huyu malaya
 
Huyu naye anadai eti mume wangu akisikia, kweli unajiita una mume wewe huku unaenda kujiuza fiesta mwanza!
 
Back
Top Bottom