Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si nilisikia Prezzoooo, au alishashuka kwenye hili gari??
Ujana ndo huu tu mwache atapumzika akiwa bibi.
Uyu dada namjua yupo hivi toka tunasoma wote primary anapenda umaarufu.......
Umaarufu wa kumegwa na kudampiwa
Si nilisikia Prezzoooo, au alishashuka kwenye hili gari??
Diva alikuwa anamuwinda Mwanafa.Kamkosa kaamua kuangukia kwa Amiri jeshi mkuu wa ECT ila FA akiomba atapewa bila shiida!
ktambo alishuka, prezzo yupo na chaga barbie
Mapenzi ya mitandaoni......waki break up ni aibu tu