Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
- Thread starter
- #21
Samahani huyu diva ni nani?
Ni mkurugenzi wa tulizana tuko wa ngapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani huyu diva ni nani?
Diva alikuwa anamuwinda Mwanafa.Kamkosa kaamua kuangukia kwa Amiri jeshi mkuu wa ECT ila FA akiomba atapewa bila shiida!
Samahani huyu diva ni nani?
Mbona muda sana unakaribia mwaka sasa baada ya kutoka kwa Huddah akaja kwa huyu akambwaga tena hata hawakudumu sana akaenda kwa Chagga barbie nae kamwagwa juzijuzi tu hapa Chezea prezoo ww.
ningependa kujua japo kidogo huyu chagga barbie ndio ana ishu gani, na ni mmbongo au mkenya mwenzie? Samahani lakini
Huyu bidada hana nyota tuu basi analazimisha tuu.
Mbaya zaidi analazimisha umaarufu kwa kusambaza papuchu.
Diva alikuwa anamuwinda Mwanafa.Kamkosa kaamua kuangukia kwa Amiri jeshi mkuu wa ECT ila FA akiomba atapewa bila shiida!
ningependa kujua japo kidogo huyu chagga barbie ndio ana ishu gani, na ni mmbongo au mkenya mwenzie? Samahani lakini
Deo haihitaji nyongeza tena kwenye thread yako. Nakupa like Brother.
Awe anapiga picha full kila siku nusu tu tumechoka kuona nusu!!!!!