Diva Azidi Kulinogesha Penzi Lake kwa GK

Mtanisamehe tu ajitahidi kujikoroga vizuri na kwenye viwiko vya mkono, maana ni vyeusi km mkaa, vidole pia.
 
Na kidoti kuhamahama......mashauz ya kitoto.Huyo GK nae kachoka kama mpira wa makaratasi
 
Mapenzi yazidi kuchukua nafasi yake katika upande wa mwanadadiva Loveness Love “Diva” kwani ameshindwa kujizuia na kuzidi kuonyesha hisia zake kwa mpenzi wake aliyenaye kwa wakati huu King Crayz GK


Huyu bidada hana nyota tuu basi analazimisha tuu.
 
Mbona muda sana unakaribia mwaka sasa baada ya kutoka kwa Huddah akaja kwa huyu akambwaga tena hata hawakudumu sana akaenda kwa Chagga barbie nae kamwagwa juzijuzi tu hapa Chezea prezoo ww.

ningependa kujua japo kidogo huyu chagga barbie ndio ana ishu gani, na ni mmbongo au mkenya mwenzie? Samahani lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…