muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Hivi kupigwa chini ndo kusimamishwa?,hawa kweli wa global publ,pole yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnafurahia kuona Mtz mwenzako anapokosa ajira .Tuache mambo haya wangefukuzwa kosa lao unalijua?
Hivi kupigwa chini ndo kusimamishwa?,hawa kweli wa global publ,pole yao.
uzi kama huu upo humu,na wamesema sababu ya wao kufukuzwa ni kukosa kushiriki mwembe yanga,eeeeh haya.
Ila kufukuzwa kasi si ajabu,
Stori: MUSA MATEJAwatangazaji wa kituo kimoja redio kimewasimamisha watangazsji wake wawili kwa kosa la kumshambulia mbunge wa kigoma kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe kwenye mitandao ya twitter,facebook.. ikumbukwe mbunge huyu imekuwa ni kosa kumwandika kwa kwa mtazamo hasi..
Ni kweli tumefikia uamuzi wa kuwasimamisha B 12, Diva na Mchomvu baada ya kukiuka baadhi ya makubaliano baina yao na kampuni" ~ Ruge