Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

tutasikia mengi mwaka huu,cdm ni nouma ,vibaraka wa misukule na mapandikizi watajiju!

siamini kama kuna mwanaume huwa anaandika maneno kama haya. bila shaka wewe utakuwa una jinsia mbili
 
DR Kitila aliposimamishwa chuoni wengi hapa mlifurahia sana, lakini alisamimshwa sio kwa kumuonga mkono Slaa au Mbowe, bali ni ule mkataba wake na chuo kikuu, na hawa kama Public employees au wana habari hawatakiwi kuwa biased, na kama wamevunja mkataba wao basi mwaajiri wao anastahili kuwasimamisha kazi. na sisi hatuna haki ya kuwatetea ila ni wajibu tumuunge mkono mwenye haki, hata kama ni tajiri.
 
Kumbe huyu Diva anaitwa Malinzi! Ahaa basi sawa! Uzungu bwana!!
 
Redio inayo fanya vizur hapa tanzania kwa kubebwa na umahili wa watangazaji wakal wenye mvuto sasa uenda ikapitotea katika raman ya redio za bongo baada ya kupigwa chini watangazaji wake diva.b 12. Na adamu mchovu. Nikutokana na utov wa nidhamu
 
Labda wamepewa dili nono na AZAM TV! Si ninasikia wanaredio pia mpya hawa watu na TV station pia? Vijana wa siku hizi wanaangalia ankara tu si kuuza sura. (Just thinking)
 
Mnafurahia kuona Mtz mwenzako anapokosa ajira .Tuache mambo haya wangefukuzwa kosa lao unalijua?

Mkuu umenena vyema manake watu wanashangilia tu kwamba mtu afukuzwe bila kujua kama kaonewa ama la!
 
Kwamaana hiyo Hara za roho by Diva,Baba John ndani ya XXL na B twangara,Bkumi nabee,B dozen,Btwelve..Au B whatever men......Itamgharimu Kusaga!
 
Nahisi kuna kitu hakiko sawa kwenye hii termination hasa mwajili anaposema hajui cha kufanya baada ya kuwasimamisha wafanyakazi wake!!

Ina maana hiyo ofisi haina miongozo?
 
Vichwa vile haviwezi kufukuzwa moja kwa moja
 
Redio inayo fanya vizur hapa tanzania kwa kubebwa na umahili wa watangazaji wakal wenye mvuto sasa uenda ikapitotea katika raman ya redio za bongo baada ya kupigwa chini watangazaji wake diva.b 12. Na adamu mchovu. Nikutokana na utov wa nidhamu

inayofanya
vizuri
umahiri
wakali
huenda
ikapotea
ramani
ni kutokana
utovu

jifunze kuandika vizuri.

Kwamaana hiyo Hara za roho by Diva,Baba John ndani ya XXL na B twangara,Bkumi nabee,B dozen,Btwelve..Au B whatever men......Itamgharimu Kusaga!

Unajiita Kaka halafu unaandika hivi!!??Spellings za aina gani hizo eti hara,twangara halafu huachi nafasi mmmh hata kuandika Kiswahili unashindwa.Hebu muwe mnaandika vizuri aibu eti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…