Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Nadhani DJ Fetty aliona mbali na kuamua kuchukua ka-degree 'kake' Tumaini University....Ila i'm so glad, dhahama hii haijamkuta.
Diva achukue muda huu kutibu ugonjwa wake wa 'Personality Disorder'
Adam should learn to be serious...ana kipaji na ana 'mvuto'...In Entertainment business that's what we need....sema Displine ndio kila kitu:...B12 ni Genious!!Kama akipunguza ujana basi siku za usoni tunaweza kumsikia mahala pazuri zaidi.....
I'm wishing them all the best!!
 
Hawajafukuzwa.. wamesimamishwa na wameshaomba radhi, Kabla ya mwezi huu kuisha watarudi kwenye vipindi.
 

Kwa mujibu wa Ruge wamesimamishwa kazi kwa muda usiojulikana,ndio maana nikasema kama hawajapewa termination letter basi wataendelea kupata mshahara kama kawaida,lakini navyomjua Ruge atakuwa kashawalambisha mchanga bora waende mahakamani kwa kesi ya "unfair termination"
 
Wamefukuzwa kwa sababu kwenye vipindi vyao walikuwa hawaipaishi CCM
 
Kumbe walikuwa watangazaji maarufu? Labda mimi sio Mtanzania maana baadhi yao sikuwahi kujua kama ni Watangazaji wa radio
 
Think out the box kuna mtego hapa. JD kuwa makina na hao waliofukuzwa kuna plan. Sitaeleza zaidi umiza kichwa
 
Kuuumbe, sasa nani atakua anatubania pua kile kipindi cha usiku cha diva?
 
Hawajafukuzwa.. wamesimamishwa na wameshaomba radhi, Kabla ya mwezi huu kuisha watarudi kwenye vipindi.

Lini wameomba radhi? Maana taarifa za kufukuzwa zimekuja leo that means Ruge amehojiwa jana!
 


Ni kweli wamefukuzwa?? Nilikuwa sijasikia hii:

Hivi B12 si ndio Bestman kwenye harusi ya Gardnar G Habash na mkewe Judith Wambura (a.k.a Lady jaydee)?? Sasa inakuwaje alikuwa anapeleka mashambulizi kwa lady jayDee ili hali akijua kwamba yeye ndiye Baba mlezi wa ndoa ya lady jaydee?? kweli kazi ipo!!
 
kama wamekuwa hawana ni dhamu ni sawa sawa kuwa simamisha maana wamejiona mastaa sana hawawezi kwenda temeke mwembeyanga ama nn hiki wezekana mh ruge wafukuze wa tangazaji wengi wapo mtaani toa tangazo waje hapo mh ruge safi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…