Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

Wamefukuzwa kwa sababu kwenye vipindi vyao walikuwa hawaipaishi CCM
What is so special here? Kama ndivyo mkataba wao ulivyosema, na hawakutimiza mkataba huo lazima watimuliwe. WaTZ tuache tabia ya kusaini mikataba bila kujua imeandikwa nini! (Tuache uvivu wa kusoma).
 
Hio ni sawa kwan kila ofice hua na taratibu zao na zikikiukwa hua ni adhabu wacha wailambe hia kwan mnataka nani awekilasiku anatumikia adhabu ?
 
Si vizuri sana kufurahia mtu kufukuzwa kazi, ila hawa vijana kwa kiasi flani walijisahau, nadhani wakirudi watarudi katika mstari maana watakuwa wameshapata ule ujumbe kuwa maisha yanaweza kubadilika ghafla na unayemdharau akawa boss wako. Hata wakifukuzwa sidhani kama watakosa ajira maana uwezo wanao ila huyo DIVA mmhhh sijui.
 
Ha ha ha diva hana shida,,shemeji yetu prezoooooo si yupo,,atamtafutia chaka kenya
 
JAMANI HIYO SHOO YA VINEGA INA MCHANGO GANI NA KUFUKUZWA KWAO?nijuzeni tafadhali.
 
kuna boya mmoja kapewa kipindi cha XXL naona kimemzidi ukubwa!Adam na B12 wana upimbi wao flani wa kiarusha ila show ya XXL wanaimudu sana!
 
Za chini ya carpet nasikia wamejadili nakuita sherehe zingine ni za chumbani yaani mapinduzi kuwa jtatu,
 
Du aiseee kweli Nasikiliza DND na Raymond Mshana pamoja na DJ zero pamoja na Sudi breezy akisababisha kitu cha you heard kweli jamaa wamepigwa chini,fetty naye kajumlishwa nini?
 
Duh, aisee jamaa walikuwa wanabamba sana XXL, waombe radhi warudi
 
nawashauli hata wasijibembeleze kutangaza clouds fm kwan kituo hicho kinatumika na wanasiasa wamwache kibonde na watu wake
msijali nyinyi mnauza vituo kibao vinawatolea macho
 
Wamepigwa chini kivipi wakati Ruge anasema 'wamesimamishwa'?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…