DivaDaily
Member
- Oct 2, 2015
- 18
- 15
tukiendelea kuletea mtiririko wa matukio ya Diva na show yake Mpya Youtube Divathebawsetv ameulizwa na mashabiki zake kwamba je ameona show ya Mfalme Alikiba Zanzibar.
Diva amejibu ameona mtandaoni kupitia instagram na kwakweli amemkuna sana maana ni kipenzi cha watu na huwa hatumii nguvu kama nanii, baada ya kuulizwa Juu ya ushindi wa Tuzo aliopata burna boy jana na kuwaa tuzo tatu ikiwemo msanii bora Africa.
Amesema anastahili sana amekuwa nominated kwenye tuzo kubwa duniani, amefanya collabo na beyonce na wasanii wakubwa duniani ambao ni A list na amesema pia ana album ambayo ukisikiliza ha copy na kupaste ina vionjo vya kiafrica yan unatingisha kichwa mwanzo mwisho ukisikiliza album yake, Mtangazaji huyo wa Cloudsfm ala za roho amesema amefurahia sana anatamani amnunulie bia burna boy ya serengeti lager
.. Amewakilisha bara la africa vizuri nimefurahia apa nacheka natabasamu, ukitaka kuona zaidi tembelea Youtube Divathebawsetv uone diva anavyotoa matamko yenye taflani amesema tarehe 15 mwez huu pia atapost jambo kubwa sana kupitia mitandao yake ya kijamii maana ana jambo la ku break internet
Sent from my iPhone using JamiiForums